У нас вы можете посмотреть бесплатно "LISSU NA WENZAKE WASIWAONEE, KUGOMBEA NA KUTOKUGOMBE NI HAKI YENU NA TUTAWAUNGA MKONO" DKT NCHIMBI или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Katibu mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt Emmanuel Nchimbi amesema Sio dhambi kwa Chama chochote cha Siasa kugoma Kushiriki Uchaguzi ambao upo Kisheria, Hivyo Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Kipo Sahihi na wala hakija vunja Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kwa Sababu vyama vingine vipo tayari kushiriki Katika Uchaguzi ikiwemo CCM. Dkt Nchimbi ameyasema hayo leo April 4,2025 wakati akifungua mkutano Mkuu Maalum wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF). Songea "Nitoe rai kwamba tuepuke kuisema CHADEMA kuhusu msimamo wake huo, kwa Sababu wakisusia Uchaguzi wa Mwaka huu, Bado kuna Chaguzi zingine wanaweza kushiriki, ila kwa wanachofanya ni haki yao kikatiba waachwe waitimize" Dkt Nchimbi