У нас вы можете посмотреть бесплатно SH BIL 16.5 KUJENGA CHUO CHA MZUMBE TANGA или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
TANGA: CHUO kikuu cha Mzumbe kimesaini mikataba yenye thamani ya sh bil 16.5 kwa ajili ya kuanza kwa ujenzi wa miundombinu ya majengo ya chuo hicho kampasi ya Tanga . Akiongea na wakati wa hafla ya utoaji wa saini Naibu Waziri wa Maliasili, Utalii Dunstan Kitandula amesema kuwa ujenzi wa chuo hicho ni sehemu ya Mapinduzi makubwa ya kimaendeleo kwenye wilaya na mkoa wa Tanga. Hata hivyo, Kaimu Mkuu wa Chuo kikuu cha Mzumbe, Prof. William Mwegoha akawaomba wananchi kuwa walinzi wa mradi huo Ili uweze kukamilika Kwa wakati. Follow us on: FACEBOOK; SpotiLeo: / spotileo-176. . HabariLeo: / habarileo DailyNews: / dailynewstz INSTAGRAM; HabariLeo: https://instagram.com/habarileo_tz?ig... SpotiLeo: https://instagram.com/spotileo?igshid... TWITTER; Twitter HabariLeo: https://twitter.com/HabariLeo?s=09