• ClipSaver
  • dtub.ru
ClipSaver
Русские видео
  • Смешные видео
  • Приколы
  • Обзоры
  • Новости
  • Тесты
  • Спорт
  • Любовь
  • Музыка
  • Разное
Сейчас в тренде
  • Фейгин лайф
  • Три кота
  • Самвел адамян
  • А4 ютуб
  • скачать бит
  • гитара с нуля
Иностранные видео
  • Funny Babies
  • Funny Sports
  • Funny Animals
  • Funny Pranks
  • Funny Magic
  • Funny Vines
  • Funny Virals
  • Funny K-Pop

NUKUU ZA WANAFALSAFA MAARUFU DUNIANI Misemo ya Busara na Hekima ya Watu Mashuhuri Duniani скачать в хорошем качестве

NUKUU ZA WANAFALSAFA MAARUFU DUNIANI Misemo ya Busara na Hekima ya Watu Mashuhuri Duniani 3 года назад

скачать видео

скачать mp3

скачать mp4

поделиться

телефон с камерой

телефон с видео

бесплатно

загрузить,

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
NUKUU ZA WANAFALSAFA MAARUFU DUNIANI Misemo ya Busara na Hekima ya Watu Mashuhuri Duniani
  • Поделиться ВК
  • Поделиться в ОК
  •  
  •  


Скачать видео с ютуб по ссылке или смотреть без блокировок на сайте: NUKUU ZA WANAFALSAFA MAARUFU DUNIANI Misemo ya Busara na Hekima ya Watu Mashuhuri Duniani в качестве 4k

У нас вы можете посмотреть бесплатно NUKUU ZA WANAFALSAFA MAARUFU DUNIANI Misemo ya Busara na Hekima ya Watu Mashuhuri Duniani или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:

  • Информация по загрузке:

Скачать mp3 с ютуба отдельным файлом. Бесплатный рингтон NUKUU ZA WANAFALSAFA MAARUFU DUNIANI Misemo ya Busara na Hekima ya Watu Mashuhuri Duniani в формате MP3:


Если кнопки скачивания не загрузились НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru



NUKUU ZA WANAFALSAFA MAARUFU DUNIANI Misemo ya Busara na Hekima ya Watu Mashuhuri Duniani

FALSAFA ZA MAISHA BUSARA, HEKIMA- NUKUU ZA WANAFALSAFA MAARUFU ULIMWENGUNI: 1. "Napenda kuwaambia wale wanaodhani siasa haiwahusu, Moja ya madhara ya kukataa kujihusisha na siasa ni kwamba utaongozwa na watu uliowazidi akili. Na kwa upungufu wao wa akili watafanya maamuzi ya kila kitu kinachohusu maisha yako"- Plato. 2. "Moto mkali zaidi wa jehanam wameandaliwa wale wanaojifanya wapo neutral mahali ambapo wanyonge wanaonewa"- Martin Luther King, Jr. 3. "Kama hatuamini uhuru wa maoni kwa wapinzani wetu, basi hatuamini katika uhuru wa maoni kabisa. Kwa sababu wafuasi wetu hawahitaji uhuru wa kusema, bali wapinzani wetu"- Noam Chomsky. 4. "Binadamu kwa asili ni mnyama wa kisiasa. Kumtenganisha na siasa ni sawa na kumzuia kuishi"- Aristotle. 5. "Changamoto kubwa ya ulimwengu kwa sasa ni kwamba wenye akili hawataki kujihusisha na siasa, na hivyo wajinga wamepewa mamlaka ya kuwatawala wenye akili na wasio na akili"- Donald Trump. 6. "Siamini kama tofauti ya mawazo katika siasa, au imani ya kidini inaweza kupoteza urafiki wangu na mtu yeyote"- Thomas Jefferson. 7. "Wanaosema dini na siasa havina uhusiano, hawajui maana ya dini"- Mahatma Gandhi. 8. "Siasa ni sanaa ya kuibua matatizo ya jamii, kuonesha unaumizwa nayo, kisha kujifanya unayatatua kumbe unayaongeza. Maana bila matatizo ya jamii hakuna wanasiasa"- Groucho Max. 9. "Siasa ni vita isiyo na damu, na vita ni siasa yenye damu"- Mao Tse Tsung. 10. "Sipendi vichekesho (comedy), lakini napotaka kucheka hufuatilia namna serikali inavyofanya mambo yake"- Will Rogers. 11. "Ni afadhali kuwa na jeshi la kondoo linaloongozwa na Simba, kuliko jeshi la simba linaloongozwa na kondoo."- Napoleon_Bonaparte. 12. "Lengo la kwanza la vita sio kufa kwa ajili ya nchi yako, hapana. Bali ni kuua mtu mwingine kwa ajili ya nchi yake."- George_Patton. 13. "Lazima nisome siasa na vita ili mwanangu apate uhuru wa kusoma hesabu na falsafa."- John_Adams. 14. "Washindi wanashinda kwanza halafu wanakwenda vitani, wanaoshindwa huenda vitani kwanza halafu ndio wanatafuta ushindi."- Sun_Tzu. 15. "Inafahamika vizuri katika vita, majeruhi wa kwanza ni ukweli. Kwamba, wakati wa vita, ukweli huharibiwa vibaya na propaganda."- Harry_Browne. 16. "Propaganda ikitumiwa vizuri inaweza kumfanya mtu aone kuwa paradiso ndio jehanam na jehanam ndio paradiso."- Adolf_Hitler. 17. "Mtu mwenye ufahamu wa kweli, si tu kwamba atawapenda maadui zake wanapofanya vizuri, bali pia atawachukia marafiki zake wanapokosea."- Friedrich_Nietzsche. 18. "Madaraka ni kama mchanga. Jinsi unavyoyakumbatia kiganjani ndivyo yanavyokuponyoka."- Confucus. 19. "Tofauti kati ya akili na ujinga ni kuwa, akili ina kikomo, ujinga hauna kikomo."- Albert_Einstein. 20. "Kuna watu wawili tu wasioweza kubadili mawazo. Mpumbavu kuliko wote na mwenye hekima kuliko wote."- Plato. 21. "Rais ni mtu wa kushutumiwa kila mara. Ukiona hataki kushutumiwa, ujue hajui sababu ya kuwa hapo."- Harry_Truman. 22. "Sote tumezaliwa wajinga, tunahitaji bidii kidogo ili kuwa na maarifa, au bidii kubwa sana ili kuendelea kubaki wapumbavu. Baadhi huchagua njia ya pili."- Benjamin_Franklin. 23. "Unajisi wa sheria hutokea pale ambapo mahakimu/majaji, hujiweka mikononi mwa watawala na kuamini watawala wana nguvu kuliko sheria"- Lamar_Smith. 24. "Kuliko kuwapa wanasiasa ufunguo wa maisha yako, ni bora ubadili kitasa"- Doug_Larson. 25. "Mpumbavu akipewa nyundo hudhani kila tatizo anaweza kulitatua kwa nyundo" .-Nelson Mandela

Comments
  • SOCRATES: Mwanafalsafa 'Genius'/Mwalimu Wa PLATO/Aliyeuawa Kwa SUMU! 5 лет назад
    SOCRATES: Mwanafalsafa 'Genius'/Mwalimu Wa PLATO/Aliyeuawa Kwa SUMU!
    Опубликовано: 5 лет назад
  • FALSAFA YA MAISHA ITAKAYOFUNGUA MACHO YAKO KWA NAMNA YA AJABU ~ Na Eng. Kabenda Balete 6 месяцев назад
    FALSAFA YA MAISHA ITAKAYOFUNGUA MACHO YAKO KWA NAMNA YA AJABU ~ Na Eng. Kabenda Balete
    Опубликовано: 6 месяцев назад
  • Usilazimishe chochote maishani mwako | Falsafa ya ustoiki 1 месяц назад
    Usilazimishe chochote maishani mwako | Falsafa ya ustoiki
    Опубликовано: 1 месяц назад
  • USOKWAUSO: MUNGU HAKULETA DINI NI UONGO, TEMIDAYO NA CHIONDA, MADA NGUMU 7 месяцев назад
    USOKWAUSO: MUNGU HAKULETA DINI NI UONGO, TEMIDAYO NA CHIONDA, MADA NGUMU
    Опубликовано: 7 месяцев назад
  • DENIS MPAGAZE: Fahamu Sifa 8 Za MSOMI/Wengi Wasomi Huru Gerezani 5 лет назад
    DENIS MPAGAZE: Fahamu Sifa 8 Za MSOMI/Wengi Wasomi Huru Gerezani
    Опубликовано: 5 лет назад
  • KILA SIKU JIAMBIE MANENO HAYA - JOEL NANAUKA 2 года назад
    KILA SIKU JIAMBIE MANENO HAYA - JOEL NANAUKA
    Опубликовано: 2 года назад
  • DENIS MPAGAZE- Sifa Ya Binadamu Ni Pamoja na Kutofautiana -Ananias Edgar 4 года назад
    DENIS MPAGAZE- Sifa Ya Binadamu Ni Pamoja na Kutofautiana -Ananias Edgar
    Опубликовано: 4 года назад
  • Tabia 10 Muhimu za Mafanikio 7 лет назад
    Tabia 10 Muhimu za Mafanikio
    Опубликовано: 7 лет назад
  • #LIVE DR.SULLE  NA MCH.NDACHA/JE, YESU NI MUNGU? (DAY ONE Трансляция закончилась 1 год назад
    #LIVE DR.SULLE NA MCH.NDACHA/JE, YESU NI MUNGU? (DAY ONE
    Опубликовано: Трансляция закончилась 1 год назад
  • Jinsi ya Kusoma mawazo ya Watu | Hadithi ya Ustoiki 2 месяца назад
    Jinsi ya Kusoma mawazo ya Watu | Hadithi ya Ustoiki
    Опубликовано: 2 месяца назад
  • FALSAFA YA USTOIKI (Stoicism) 1 год назад
    FALSAFA YA USTOIKI (Stoicism)
    Опубликовано: 1 год назад
  • Inawezekana Kufikia Malengo Yako Usikate Tamaa   Joel Arthur Nanauka 7 лет назад
    Inawezekana Kufikia Malengo Yako Usikate Tamaa Joel Arthur Nanauka
    Опубликовано: 7 лет назад
  • KUTENGENEZA UTAJIRI WA WATU FULL VIDEO - JOEL NANAUKA 1 год назад
    KUTENGENEZA UTAJIRI WA WATU FULL VIDEO - JOEL NANAUKA
    Опубликовано: 1 год назад
  • DENIS MPAGAZE: Mfahamu Mwanamalundi / Mwanaume Aliyekausha Miti kwa Kidole Wanawake Wakapata Kuni!! 3 года назад
    DENIS MPAGAZE: Mfahamu Mwanamalundi / Mwanaume Aliyekausha Miti kwa Kidole Wanawake Wakapata Kuni!!
    Опубликовано: 3 года назад
  • Mipaka 7 Inayofanya Watu Wakuheshimu 1 месяц назад
    Mipaka 7 Inayofanya Watu Wakuheshimu
    Опубликовано: 1 месяц назад
  • USITESEKE TENA NA  MAPENZI / The Story Book Season 02 Episodes 10 / Professor Jamal April 5 лет назад
    USITESEKE TENA NA MAPENZI / The Story Book Season 02 Episodes 10 / Professor Jamal April
    Опубликовано: 5 лет назад
  • AMUA UNACHOTAKA LEO - JOEL NANAUKA 2 года назад
    AMUA UNACHOTAKA LEO - JOEL NANAUKA
    Опубликовано: 2 года назад
  • Maneno 10 ya hekima yatakayokupa nguvu kila siku|Sikiliza kila uamkapo. 1 месяц назад
    Maneno 10 ya hekima yatakayokupa nguvu kila siku|Sikiliza kila uamkapo.
    Опубликовано: 1 месяц назад
  • TUMIA MAMLAKA HII ILI KUFUNGULIWA-- PR. DAVID MMBAGA 1 год назад
    TUMIA MAMLAKA HII ILI KUFUNGULIWA-- PR. DAVID MMBAGA
    Опубликовано: 1 год назад
  • Kumudu Sanaa ya Kujitenga Kihisia | hekima ya ustoiki 1 месяц назад
    Kumudu Sanaa ya Kujitenga Kihisia | hekima ya ustoiki
    Опубликовано: 1 месяц назад

Контактный email для правообладателей: [email protected] © 2017 - 2025

Отказ от ответственности - Disclaimer Правообладателям - DMCA Условия использования сайта - TOS



Карта сайта 1 Карта сайта 2 Карта сайта 3 Карта сайта 4 Карта сайта 5