У нас вы можете посмотреть бесплатно ALIYEFARIKI APIGA SIMU kwa NDUGU ZAKE na KUWATAKIA HERI ya MWAKA MPYA NDUGU WASHIKWA na BUTWAA или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
ALIYEFARIKI APIGA SIMU kwa NDUGU ZAKE na KUWATAKIA HERI ya MWAKA MPYA NDUGU WAKISHIKWA na BUTWAA Mtu mmoja ajulikanaye kwa jina la Masanja Masengwa (30) aliyedaiwa kufariki katika kijiji cha Katuma kilichopo halimashauri ya Tanganyika mkoani Katavi na kuzikwa katika kijiji cha Itenka kata ya Itenka halmashauri ya Nsimbo mkoani humo ameonekana baada ya kuwapigia simu ndugu zake akiwasalimu kwa kuwatakia heri ya mwaka mpya huku ndugu zake wakishikwa na butwaa kwa kupigiwa simu na mtu waliyemzika ambapo sababu za tukio hilo zilianzia kwa namna taarifa ya msiba ambazo hazikuwa sahihi. Dotto Shilinde ambaye ni shemeji yake ndiye alihusika kubeba jukumu la msiba na taratibu zote za mazishi zikifanyika katika kijiji chake na msiba kuwekwa nyumbani kwake anaeleza namna alivyopata taarifa za kifo cha Masanja Masengwa kutoka kwa watu mbalimbali. ============================================================ ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136) ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo na Burudani Tanzania! ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/ ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx