У нас вы можете посмотреть бесплатно utaratibu wa kusitisha mikataba ya ajira / PART 01 или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Sheria ya Ajira na Mahusiano kazini, Sura Na. 366 ya mwaka 2004, pamoja na Kanuni za Ajira na Mahusiano kazini (Kanuni za Utendaji Bora), za mwaka 2007. Sheria hizi mbili zinatoa mwongozo wa mahusiano kati ya mwajiri na mwajiriwa. Mkataba baina ya mwajiri na mwajiriwa hutumika kama uthibitisho kisheria wa uhusiano kati yao Mikataba hii ipo kisheria na hata usitishwaji wake huzingatia taratibu na kanuni zilizowekwa kisheria. Kutokana na changamoto mbalimbali waajiri wengi husitisha mikataba bila kuzingatia taratibu za kisheria za usitishaji wa mikataba hiyo. Hivyo basi, katika sehemu ya kwanza ya kipindi hiki tutaangazia usitishwaji wa mikataba ya ajira kati ya mwajiri na mwajiriwa. Connect with us through instagram; @ShellabeachAttorneys facebook @ShellabeachAttorneys contacts (mawasiliano); +255657927351 SHELLABEACH ATTORNEYS