У нас вы можете посмотреть бесплатно ABY (Niliyapata Mapenzi kwako): SIMULIZI FUPI или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Abigael (ABY) mwanadada anaesoma chuo jijini dar akiwa na mpenzi wake Gabriel mwanafunzi mwenzake... anarudi likizo kijijini kuwasalimia wazazi wake.. Familia zenye vijana zinafika hapo kuomba kumuoa binti lakini binti anawakataa vijana wa kijijini.. Ndipo inatokea familia moja inadai kijana wao Rayan yuko London uingereza wanamuhitaji Aby kua mke wa Mwanao... Aby kusikia Londoni uingereza ohhh anaamua kukubali mazima na kuanza kuchafua status "mke mtarajiwa" mpenz wake anaona na kuuliza kulikoni.. Aby anamwambia tuachane 😄 (kirahisi tu?) ..Gabriel anasema hiyo haiwezekani.. basi kisa hiki kilianzia hapo... Aby anaendelea kusimulia nini kilitokea.. Sikiliza.