У нас вы можете посмотреть бесплатно GARI YA ZIMAMOTO YAPIGWA MAWE NA WANANCHI SHINYANGA | DC & RPC WAONGEA SABABU ZA GARI KUCHELEWA или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Jeshi la polisi mkoa wa Shinyanga limefanikiwa kudhibiti fujo zilizofanywa na baadhi ya wakazi katika eneo la Mnara wa Voda lililopo katika halmashuri ya manispaa ya Shinyanga kwa kuliponda mawe gari la zima moto kufuatia kuchelewa kwa gari hilo kufika baada ya kutokea kwa tukio la kuungua kwa nyumba iliyopo katika eneo hilo ambayo mmiliki wake bado hajatambulika mara moja. Kamanda wa polisi mkoa wa Shinyanga SACP Janeth Magomi amewaonba wananchi kufuata sheria za nchi na kuainisha kuwa kufanya matendo kama hayo ni kosa la jinai hivyo jamii inatakiwa kuchukua tahadhari. Mkuu wa wilaya ya Shinyanga ambaye pia mwenyekiti wa ulinzi na usalama wilaya ya Shinyanga, Wakili Julius Mtatiro amekemea tabia hiyo huku akiwataka wananchi kuwa na utulivu pindi yanapotokea majanga. Habari na mwandishi wetu Eunice Kanumba, kutoka 92.7 Shinyanga. #jambofmtz #chaguamaishafresh