У нас вы можете посмотреть бесплатно 🚘 DR. DAMAS NDUMBARO ATINGA NA CLASSIC CAR KUCHUKUA FOMU SONGEA | AMTAJA DR. SAMIA NA DR. NCHIMBI или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Dr. Damas Ndumbaro ameibua gumzo kubwa jijini Songea baada ya kuwasili kwa classic car kuchukua fomu ya kugombea Ubunge wa Jimbo la Songea Mjini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM). Katika tukio hilo, alitoa shukrani zake kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan. Maelfu ya wananchi walijitokeza kushuhudia tukio hilo la kihistoria lililojaa shamrashamra na hamasa kubwa. Tazama video hii kupata undani wote! 👉 Usisahau ku-subscribe, ku-like na kushare video hii kwa habari zaidi za siasa na matukio makubwa Tanzania.