• ClipSaver
  • dtub.ru
ClipSaver
Русские видео
  • Смешные видео
  • Приколы
  • Обзоры
  • Новости
  • Тесты
  • Спорт
  • Любовь
  • Музыка
  • Разное
Сейчас в тренде
  • Фейгин лайф
  • Три кота
  • Самвел адамян
  • А4 ютуб
  • скачать бит
  • гитара с нуля
Иностранные видео
  • Funny Babies
  • Funny Sports
  • Funny Animals
  • Funny Pranks
  • Funny Magic
  • Funny Vines
  • Funny Virals
  • Funny K-Pop

Kilimo cha Azolla Tanzania |Punguza gharama ya malisho ya mifugo tumia AZOLLA| скачать в хорошем качестве

Kilimo cha Azolla Tanzania |Punguza gharama ya malisho ya mifugo tumia AZOLLA| 3 года назад

скачать видео

скачать mp3

скачать mp4

поделиться

телефон с камерой

телефон с видео

бесплатно

загрузить,

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
Kilimo cha Azolla Tanzania |Punguza gharama ya malisho ya mifugo tumia AZOLLA|
  • Поделиться ВК
  • Поделиться в ОК
  •  
  •  


Скачать видео с ютуб по ссылке или смотреть без блокировок на сайте: Kilimo cha Azolla Tanzania |Punguza gharama ya malisho ya mifugo tumia AZOLLA| в качестве 4k

У нас вы можете посмотреть бесплатно Kilimo cha Azolla Tanzania |Punguza gharama ya malisho ya mifugo tumia AZOLLA| или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:

  • Информация по загрузке:

Скачать mp3 с ютуба отдельным файлом. Бесплатный рингтон Kilimo cha Azolla Tanzania |Punguza gharama ya malisho ya mifugo tumia AZOLLA| в формате MP3:


Если кнопки скачивания не загрузились НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru



Kilimo cha Azolla Tanzania |Punguza gharama ya malisho ya mifugo tumia AZOLLA|

JINSI YA KUZALISHA AZOLLA KWA CHAKULA CHA KUKU Habari Ndugu Mfugaji popote pale ulipo, jifunze jinsi ya kuzalisha azolla kwa chakula cha kuku na Mkulimastar. . Kwa maeneo mengi sana hapa nchini imekuwa changamoto hupatikanaji pamoja na bei za vyakula vya kuku, na watu wengi wamekuwa wakipata wakati mgumu na kufanya ufugaji kuwa na changamoto nyingi na hata kuhahirisha kufanya ufugaji. Bali sasa vitambue vyakula ambavyo mfugaji unaweza zalisha katika mazingira yake kwa lengo la kulisha kuku wake. Vifuatavyo ni vyanzo vya chakula ambavyo vyaweza tumika kulisha kuku. MMEA WA AZOLA. Huu ni mmea ambao hukua ndani ya muda mfupi na uweza lisha mfugo wako wa kuku na kuwapatia chanzo kizuri cha protini pamoja na viini lishe vinginevyo. MAZINGIRA YA UZALISHAJI Eneo ambalo litatumika hakikisha lina funikwa vyema kuweza zuia upotevu mkubwa wa maji, na kuchanganyana na uchafu wa ain ayeyote. Eneo lisiwe na shughuli nyingine kuepuka kuchanganyikana na uchafu mwingine pamoja na sumu zingine. Jinsi ya kuotesha. 1. Andaa bwawa square mita 18 kina futi 1.5 au chombo chochote chenye ukubwa wowote unao endana na ukubwa wa eneo ulilo nalo. 2. Kisha weka nailoni ngumu au turubahi ambalo lituzuia kupotea kwa maji Kunywea chinina Baada ya hapo weka samadi udongo kilo 27-30 mbichi ya ng`ombe ambayo itachukua eneo la inchi 10, ondoa uchafu wote hutakao jitokeza baada ya kuweka samadi juu ya maji hayo. 3. kisha weka mbegu kiasi cha kilo tatu (3), katika bwawa hilo maalumu. 4. Baada ya azola kuota Subiri kuvuna baada ya siku 15 kwa Mara ya kwanza baada ya hapo utakuwa ukivuna kila baada ya siku 2-3 kwa zaidi ya mwaka anza kuvuna na kuwapatia kuku wako, baada ya hapo anza kulisha kulingana na wingi wa mifugo ulio nao. NAMNA YA KUWALISHA. Kuna namna mbili kuu za kuwalisha kuku, 1. Namna ya kwanza kwa kuwapatia kwa kuchanganya na vyakula vingine kwa kuweka azolla kilo 50, pumba kilo 25, na kilo 25 za chakula cha madukani/ ulichochanganya mwenyewe ili kupata kilo 100 2. Namna ya pili kwa kuwapatia Chakula cha Azolla tu bila chakula kingine. CHUO CHA MIPANGO 2) AZOLLA KILIMO CHA CHAKULA BORA CHA MIFUGO KINACHOKUA NA KUVUNWA KILA BAADA YA SIKU (3) TATU TU Kwetu utapata: Elimu na utaalam wake Vitalu vyakuhamishika vyakulimia Azolla (Growbed) Kuandaliwa bwawa la azolla Mbegu bora ya Azolla Bidhaa zake (Vyakula vya mifugo) LIMA AZOLLA UPUNGUZE GHARAMA ZA KULISHA MIFUGO YAKO NA UPATE MATOKEO BORA ZAIDI Azolla ni mmea ambao umethibitika kuwa Chakula bora kwa mifugo na cha gharama nafuu kwani ni mmea rahisi kulima,wenye kutumia eneo dogo na hukua haraka nakuvunwa kila baada ya siku 2-3 tu. Chakula hiki kipo kwenye mfumo wa majani na huwa na virutubisho kwa wingi vya Protini, Vitamins A & B12, amino asidi pamoja na madini mbalimbali ya Calcium, Potassium, Magnesium, Phosphorous na mengineyo mengi. Chakula hiki cha Azolla huwezakutumika kulisha mifugo mbalimbali kama vile kuku wa Kienyeji, Broilers,Layers, Kuroiler, Malawi, Sasso pia mifugo mingine Kama Bata, Ng'ombe, Nguruwe, Mbuzi, Kondoo, Farasi, Sungura na pia ni chakula kizuri sana kwa Samaki wanaofugwa kwenye mabwawa kama Kambale (Afican Catfish), Sato (Tilapia)n.k BAADHI YA FAIDA ZA KULISHA AZOLLA KWA MIFUGO YAKO. 1) Kupunguza gharama za chakula kwa mifugo yako kati ya 20% Haswa wafugaji wa kuku wakisasa. 2)Azolla kwa kuku inawasaidia kuongeza kiasi cha utagaji wa mayai na mayai huwa na ubora kwa kuwa na kiini cha njano. 3) Husaidia kupunguza kiasi cha mafuta kwa Ng'ombe na hupelekea kuongeza kiasi cha maziwa kwa Ng'ombe kuanzia 15% -25% na maziwa hayo huwa na ubora wa hali ya juu. ( Low butterfatty) 4) Vile vile inasaidia kupunguza magonjwa kwa mifugo kama Ng'ombe kwa kupunguza magonjwa ya Kimea ambayo huathiri kiwanda cha maziwa kwa Ng'ombe ( Chuchu za Ng'ombe) 5) Azolla pia inasaidia kujenga afya nzuri kwa mifugo yote inayotumia AZOLLA. 6) Ni chakula rahisi kumeng’enywa na mifumo ya chakula ya wanyama aina zote. 7)Huchangia kwenye ukuaji wa haraka wa mifugo mbalimbali. 8) Mbali na Faida kwa mifugo pia Azolla ni mbolea nzuri kwa ajili ya kilimo cha Mbogamboga na mazao mengineyo. #mkulimasmart #shambadarasa

Comments
  • В центре внимания — выращивание ряски | Сельское хозяйство и бизнес 8 месяцев назад
    В центре внимания — выращивание ряски | Сельское хозяйство и бизнес
    Опубликовано: 8 месяцев назад
  • KnowledgeTv by ESRF S01E44 - Jinsi ya Kulima na Kuvuna Azolla ( Chakula cha Mifugo na Mbolea) 9 лет назад
    KnowledgeTv by ESRF S01E44 - Jinsi ya Kulima na Kuvuna Azolla ( Chakula cha Mifugo na Mbolea)
    Опубликовано: 9 лет назад
  • 🍄 Как выращивать грибы из супермаркета дома — от начала до сбора урожая 4 месяца назад
    🍄 Как выращивать грибы из супермаркета дома — от начала до сбора урожая
    Опубликовано: 4 месяца назад
  • Открытие Варбурга: 4 переключателя, которые мешают раку расти | Здоровье с Доктором 1 месяц назад
    Открытие Варбурга: 4 переключателя, которые мешают раку расти | Здоровье с Доктором
    Опубликовано: 1 месяц назад
  • KILIMO CHA AZOLLA, NJIA YA KUOKOA GHARAMA ZA UFUGAJI, FAIDA KWA MIFUGO, KilimoPro 1 год назад
    KILIMO CHA AZOLLA, NJIA YA KUOKOA GHARAMA ZA UFUGAJI, FAIDA KWA MIFUGO, KilimoPro
    Опубликовано: 1 год назад
  • Зарабатывайте деньги с Azolla | Руководство по фермерству Azolla 🌱🌸 1 год назад
    Зарабатывайте деньги с Azolla | Руководство по фермерству Azolla 🌱🌸
    Опубликовано: 1 год назад
  • How to feed your Black-soldier fly larvae from eggies to maturity. #ProteinMaster 4 года назад
    How to feed your Black-soldier fly larvae from eggies to maturity. #ProteinMaster
    Опубликовано: 4 года назад
  • Kutana na wanawake wakulima wa azolla mjini Mtwara 4 года назад
    Kutana na wanawake wakulima wa azolla mjini Mtwara
    Опубликовано: 4 года назад
  • КИШЕЧНИК ЗАРАБОТАЕТ КАК ЧАСЫ! Запор уйдет навсегда после 60 | Доктор рекомендует 3 дня назад
    КИШЕЧНИК ЗАРАБОТАЕТ КАК ЧАСЫ! Запор уйдет навсегда после 60 | Доктор рекомендует
    Опубликовано: 3 дня назад
  • Kilimo Na Biashara | Black Soldier Fly  Farming 4 года назад
    Kilimo Na Biashara | Black Soldier Fly Farming
    Опубликовано: 4 года назад
  • Павловния // Алюминиевое дерево или нефтяная скважина на участке? 5 лет назад
    Павловния // Алюминиевое дерево или нефтяная скважина на участке?
    Опубликовано: 5 лет назад
  • kilimo cha azolla tanzania:azolla chakula cha kuku 4 года назад
    kilimo cha azolla tanzania:azolla chakula cha kuku
    Опубликовано: 4 года назад
  • azolla. the gift that keeps on giving 2 года назад
    azolla. the gift that keeps on giving
    Опубликовано: 2 года назад
  • 1 стакан натощак — и тромбы после 50 начнут рассасываться. Мурад Алиев объясняет 5 дней назад
    1 стакан натощак — и тромбы после 50 начнут рассасываться. Мурад Алиев объясняет
    Опубликовано: 5 дней назад
  • How to Grow Azolla At Home | Azolla Farming 2 года назад
    How to Grow Azolla At Home | Azolla Farming
    Опубликовано: 2 года назад
  • KILIMO CHA AZOLA, CHAKULA CHA MIFUGO, MBOLEA KWA MAZAO, FAIDA KWA MKULIMA 2 года назад
    KILIMO CHA AZOLA, CHAKULA CHA MIFUGO, MBOLEA KWA MAZAO, FAIDA KWA MKULIMA
    Опубликовано: 2 года назад
  • KILIMO CHA AZOLLA |Jua jinsi ya kupanda,kuvuna na kulisha AZOLLA| 3 года назад
    KILIMO CHA AZOLLA |Jua jinsi ya kupanda,kuvuna na kulisha AZOLLA|
    Опубликовано: 3 года назад
  • Kilimo cha tikiti maji. 5 лет назад
    Kilimo cha tikiti maji.
    Опубликовано: 5 лет назад
  • Морковь с «этим» — яд для почек! ТОП-3 опасных сочетаний 5 дней назад
    Морковь с «этим» — яд для почек! ТОП-3 опасных сочетаний
    Опубликовано: 5 дней назад
  • Как кормить кур бесплатно круглый год: метод трёх систем, который скрывали от фермеров 1 месяц назад
    Как кормить кур бесплатно круглый год: метод трёх систем, который скрывали от фермеров
    Опубликовано: 1 месяц назад

Контактный email для правообладателей: u2beadvert@gmail.com © 2017 - 2026

Отказ от ответственности - Disclaimer Правообладателям - DMCA Условия использования сайта - TOS



Карта сайта 1 Карта сайта 2 Карта сайта 3 Карта сайта 4 Карта сайта 5