У нас вы можете посмотреть бесплатно SHAMBA EKARI 350 ZINAKODISHWA VIGWAZA: UNAWEZA KULIMA NA KUFUGA NK или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Karibu sana ndugu mwenye maono ya kuwekeza kwenye kilimo au ufugaji au zaidi. Shamba hili lina ekari 350. Sehemu iliyo tayari kwa kilimo ni ekari 50+ na 300 zina miti ya asili na vichaka vya wastani, kuna bwawa la kuhifadhi maji kwa mwaka mzima, kuna trough ya kunyweshea maji mifugo KUNA TREKTA, JEMBE LAKE NA HARROW YAKE PIA. KUNA MATENT YA KUKAA AU KUFIKIA NA KUNA MSINGI WA VYUMBA PIA VYA KUKAA. Kuna miundombinu ya umwagiliaji na ufugaji wa nyuki. Piga 0752207828 na 0686418546 kwa msaada zaidi Unaweza kufuga ng'ombe, mbuzi, kondoo, nyati maji, farasi, ngamia nk..... Unaweza kulima ufuta, alizeti, kunde, mihogo, ufuta, nk. UNAWEZA WEKA CAMP YA UTALII AU HOTELI PIA. BEI YAKE ITATEGEMEA MRADI WAKO NA TUNAKAA MEZANI...NB; ARDHI HAUIZWI ILA INAKODISHWA KWA KUANZIA MIAKA 3-5, na kuendelea. Gharama ya kukodi ni 300,000 kwa ekari kwa mwaka