У нас вы можете посмотреть бесплатно Huu Mwaka Nakushauri Tumia Tiba 5 za Asili kwa Kuku – Zina Nguvu Sana! или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Huu Mwaka Nakushauri Tumia Tiba 5 za Asili kwa Kuku – Zina Nguvu Zaidi Huu mwaka kama mfugaji wa kuku, nakushauri sana ubadilike. Katika video hii nimekushirikisha tiba 5 za asili kwa kuku ambazo zina nguvu zaidi kuliko unavyodhani. Tiba hizi: ✅ Zinasaidia kutibu mafua, kuhara na udhaifu kwa kuku ✅ Zinapunguza vifo kwa vifaranga na kuku wakubwa ✅ Zinapunguza gharama za dawa za dukani ✅ Zinapatikana kwa urahisi majumbani 📌 Tazama video hadi mwisho ujifunze jinsi ya kutumia kila tiba kwa usahihi ili upate matokeo bora. 👍 Usisahau Like 💬 Toa Comment yako 🔔 Subscribe KingoFarm kwa elimu bora ya ufugaji wa kuku kwa njia za asili