У нас вы можете посмотреть бесплатно TARANGIRE KUPATA LANGO JIPYA LA MAMIRE или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Kwa kuwa Hifadhi ya Taifa Tarangire ni ya pili kwa kuingiza watalii wengi zaidi kati ya Hifadhi za Taifa 21 zinazosimamiwa na TANAPA baada ya Hifadhi ya Taifa Serengeti, na ya tatu kwa wingi wa mapato yatokanayo na utalii baada ya Hifadhi za Taifa Serengeti na Kilimanjaro, hivyo kukamilika kwa Lango la Mamire Aprili 14, 2026 kutaifanya hifadhi hiyo kuwa na jumla ya Malango manne (4) na Uwanja wa ndege wa Kuro ambao pia hutumia kama lango kwa watalii wanaoshukia hapo, na kufanya maeneo ya kukatia vibali (permits) kuwa matano (5). Hii ni hatua kubwa sana, hivyo Lango hilo jipya litaongeza ufanisi, kupunguza idadi ya watalii katika malango mengine na kuwezesha utoaji wa huduma kwa haraka na kwa ubora zaidi.