У нас вы можете посмотреть бесплатно TAARIFA YA HABARI SAA 6 MCHANA | MARCH 03, 2026 или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
MIONGONI MWA TAARIFA TULIZONAZO NI PAMOJA NA Maafisa ugani wilayani Muleba mkoani Kagera watakiwa kuwafikia wafugaji ili waweze kuondokana na changamoto ya kufuga kwa mazoea. Madereva wanaoendesha magari ya watalii kwa mwendo kasi ndani ya Hifadhi ya Taifa ya Serengeti waonywa. NA Serikali ya Burundi yakusudia kuwapokea raia wake 104,600 kutoka nchini Tanzania kufikia Juni 30 mwaka huu. #rkhabari #radiokwizera #2026aminia ------------------------------------------------------------------------------------------------------- Radio Kwizera Ngara Kagera Tanzania | Unaweza kuisikiliza Radio Kwizera kwa masafa mbalimbali: 97.7 KAGERA, MWANZA & GEITA | 93.7 KIGOMA | 89.5 SHINYANGA Unaweza kusikiliza kwa njia ya mtandao kwa kubofya link hapo chini https://radiokwizera.co.tz/ LIKE | FOLLOW | SUBSCRIBE | COMMENT | SHARE © All Rights Reserved to JRS Radio Kwizera 1995-2026