У нас вы можете посмотреть бесплатно JINSI YA KUSOMA SOMO GUMU|Jinsi Ya kutunza kumbukumbu na kulipenda somo na kukariri haraka| или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
#teacherd #necta #nectaonline #kumbukumbu #somogumu JINSI YA KUSOMA SOMO GUMU|Jinsi Ya kutunza kumbukumbu na kulipenda somo na kukariri haraka|#necta Kila mwanafunzi huwa na lile somo ambalo kwa sehemu moja au nyingine linakuwa gumu kwake sio wewe peke yako...asilimia 90 wanafunzi wote kama sio 98 wanachangamoto kama iyo ya kukutana na somo gumu katika elimu yake LEO NIMEKUSOGEZEA MBINU 7 ZA KUKUWEZESHA KULIPENDA SOMO ILO GUMU Mbinu hizo ni; 1) Lipende somo na kulipatia kipaumbele zaidi Kama ulikuwa unalisoma mara moja ua marambili kwa wiki sasa anza kulisoma takribani kila siku 2)mpende mwalimu 3)jenga ukaribu kwa wanafunzi wenye uwezo na somo ilo na nyinine nyingi... pleasea usiacheku subscribe kwenye channel yangu