У нас вы можете посмотреть бесплатно RAIS DKT. SAMIA AKISHIRIKI MJADALA WA MUSTAKABALI WA UWEKEZAJI BARANI AFRIKA | WGS 2026, DUBAI или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameshiriki katika Mjadala wenye mada: “Serikali na Mustakabali wa Uwekezaji: Mtazamo wa Afrika” uliofanyika leo tarehe 04 Februari, 2026 uliofanyika mjini Dubai, Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE). Mjadala huo uliofanyika wakati wa Mkutano wa Jukwaa la Serikali Duniani (World Governments Summit – WGS 2026), uliwakutanisha viongozi wa dunia kujadili nafasi ya Afrika katika kukuza uwekezaji, uchumi, na maendeleo endelevu. _________ #TanzaniaNaUwekezaji #DiplomasiaYaKiuchumi #KaziNaUtuTunasongaMbele