У нас вы можете посмотреть бесплатно SPORTS AM 13/04/2025 | Simba wanapaswa kuuchulia kwa ukubwa mchezo wao dhidi ya Stellenbosch FC или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Wachezaji wa zamani wa Yanga SC, Mohamed Hussein 'Mmachinga’, na wa Simba SC George Masatu wakizungumzia kuhusu klabu ya Simba SC kufuzu hatua ya nusu fainali za Kombe la Shirikisho Afrika huku wakiwa wanaimani na timu hiyo kufanya vizuri. Kwa upande mwangine wachezaji hao wamesema Simba inapaswa kuuchukulia kwa uzito mchezo wao wa Kombe la Shirikisho Afrika unaotarajiwa kuchezwa Jumapili ya Aprili 20, 2025 dhidi ya Stellenbosch FC ya Afrika Kusini kuliko mchezo wao wa leo wa # CRDBBankFederationCup dhidi ya Mbeya City. Leo Simba atakuwa dimba la KMC Complex kuikabili Mbeya City kwenye CRDB Bank Federation Cup majira ya saa 10:00 jioni na itakuwa MBASHARA #AzamSports1HD. Imeandaliwa na @jairomtitu3 #AzamTvSports #SimbaSC