У нас вы можете посмотреть бесплатно TOBA~PART 1 или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Kuna matokeo katika maisha yako hayawezi kutokea kwasababu bado hujakubali kubadilisha nia yako Unaweza ukajidhania kuwa una karama fulani na fulani basi, kumbe zipo karama zingine zaidi ya hizo unazozifahamu, kwasababu bado hujakubali kubadilishwa nia ya kugeuzwa na MUNGU...unabaki na mtazamo wako huo huo Kuna vitu vingi ambayo MUNGU bado hajakufunulia kwasababu hujakubali kubadilisha nia Haijalishi kama wewe ni Mtumishi wa MUNGU upo Madhabahuni, kama hujakubaliana kugeuzwa nia yako na MUNGU...kuna hatua huwezi kufika Somo hili lipate nafasi ndani ya moyo wako na ukubali kuruhusu nia yako igeuzwe leo na hakika utakuwa ni mtu wa tofauti sana.#KugeuzwaNia