У нас вы можете посмотреть бесплатно Same Mashariki yachekelea mamillioni ya Serikali или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Mbunge wa jimbo la Same mashariki, Anne Kilango Malecela amesema jimbo hilo limepokea fedha nyingi za utekelezaji wa miradi ya barabara kuliko awamu nyingine yeyote ile tangu kuanzishwa kwa jimbo hilo. Jimbo la Same Mashariki katika kipindi cha mwaka wa fedha 20201/22 imepokea kiasi cha shillingi Bil.1.5 na fedha shilling Mil.920 ya ziada ambayo ni maombi maalum nje ya bajeti jambo ambalo ni tofauti na miaka ya nyuma ambayo walikua wakiletea shilling Mil.707.4 kuhudumia mtandao wa Km 870.34 Akisoma utekelezaji wa miradi hiyo Eng. Mnene James Nyamega, Kaimu Meneja TARURA Same amesema kuongezwa kwa bajeti hiyo ni hatua kubwa kwani itakwenda kutekeleza miradi ya barabara hasa ya sehemu za milimani ambapo wananchi wake wanashindwa kusafirisha mazao yao kutokana na ubovu wa miundombinu ya barabara katika maeneo hayo.