У нас вы можете посмотреть бесплатно TAHARUKI: WANAFUNZI 11 NA MWALIMU 1 WAJERUHIWA NA NYUKI MOROGORO. или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
TAHARUKI: WANAFUNZI 11 NA MWALIMU 1 WAJERUHIWA NA NYUKI MOROGORO. Wanafunzi 11 pamoja na mwalimu mmoja walijeruhiwa baada ya kushambuliwa na nyuki majira ya asubhi wakati wakiendelea na taratibu za masomo. Mwalimu Mkuu wa shule hiyo, Mohamed Mangu,amethibitisha kutokea kwa tukio hilo ambapo amesema nyuki hao walionekana kwa mara ya kwanza takribani siku nne zilizopita ambapo leo nyuki hao waliibuka kwa wingi na kuanza kushambulia wanafunzi waliokuwa wakiendelea na shughuli za usafi wa mazingira. Kwa upande wake askari wa Jeshi la Zimamoto na uokoaji Sgt Alexander Makuluni amesema wamefanikiwa kuwadhibiti nyuki hao licha ya kuchelewa kutoa taarifa awali Naye wa kituo cha afya Lukobe mganga Mfawidhi Judith Ntanyinya amesema sasa wanafunzi na mwaalimu wanapatiwa matibabu katika kituo cha Afya Lukobe.