У нас вы можете посмотреть бесплатно HALI HALISI WALIONAYO SASA WATANZANIA AFRIKA KUSINI или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
CC: JamiiForums, BBC Swahili, ALjazeera. Waziri Prof. Palamagamba Kabudi, amesema mpaka sasa hakuna Mtanzania aliyeuawa katika machafuko yaliyotokea Afrika Kusini Amewaomba watanzania kutofanya vurugu kwa wageni Baadhi ya Watanzania wanaoishi nchini Afrika Kusini wamelalamikia vurugu ambazo zinazoendelea nchini humo kuwa ni muendelezo wa chuki ya wenyeji dhidi ya raia wa kigeni. Watanzania hao wamedai kuwa bado hali si shwari na inawawia vigumu wao hata kutoka nje kwenda maeneo ya mjini. "Hali ni mbaya kwa kweli , usalama hamna" Yusuph Omar ameieleza BBC na kuongeza kuwa watu wanapigwa , wanachomwa moto na kuuwawa. Kufuatia vurugu hizo, rais wa Nigeria Muhammadu Buhari ametuma mwakilishi nchini Afrika Kusini kuzungumzia mzozo huo . Mara baada ya waziri wa mambo ya nje wa Nigeria, Geoffrey Onyeama kuandika katika ukurasa wa tweeter na kusema "Yatosha sasa" . Naye rais Cyril Ramaphosa amelaani vurugu hizo zisizokuwa na maana kuendelea. Alisema" hakuna maana kwa waafrika kusini kuwavamia wageni". Serikali nyingine za mataifa ya kiafrika yameeleza hofu juu ya raia wake dhidi ya chuki hiyo na kutoa tahadhari juu ya vurugu hizo. Ubalozi wa Ethiopia nchini Afrika Kusini umewashauri raia wake walioko nchini humo kufunga maduka wakati wa vurugu hizo zikiwa zinaendelea katika mji wa kibiashara wa Johannesburg . Vilevile wameshauriwa kuwa mbali na kutojihusisha na vurugu hizi vilevile kutotoka nje wakiwa wamevaa vito vya thamani. Wakati huo huo waziri wa usafiishaji nchini Zambia, magari ya mizigo yasisafiri kuelekea Afrika kusini mpaka hali ya usalama itakapotengamaa. Taarifa zinaripoti kuwa kuna malori kadhaa ya wageni yamekamatwa nchini humo huku magari mengine kadhaa yameripotiwa kuchomwa moto. Angalia Video Hii Mwanzo mwisho , Kisha Subscribe ili uendelee Kupata Habari Zote. #Habari #KtvTzOnline Follow Ktv Tz Online Facebook | KTV TZ ONLINE INSTAGRAM |@ktv_tz_online Ktv Tz Online Journalists cc: Sadia Rashid cc: Masoud Maganga cc: Hairath Haroub cc:Juma Maulid Video Zingine: Angalia hapa - Diamond Platnumz Alivyolisha watoto yatima Ali Kiba akiwa Oman • ALICHOKIFANYA DIAMOND ZANZIBAR HAITOSAHAULIKA • NI KWELI ALI KIBA AMNUNULIA NYUMBA OMMY DI...