У нас вы можете посмотреть бесплатно Hii gari ni nzuri kuzidi toyota harrier, alafu ni bei rahisi. или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Mitsubishi Outlander 2013 ni gari ambalo bado halijapata umaarufu mkubwa kama Toyota Harrier hapa Tanzania, lakini ni chaguo bora zaidi kwa wanaotafuta ubora, uimara na teknolojia ya kisasa. ✅ Ina mfumo wa 4WD kwa uendeshaji imara hata barabara mbaya. ✅ Ingawa ina engine ya 2350cc, inatumia mafuta kwa ufanisi mkubwa — hadi 15 km kwa lita moja ikiwa kwenye Eco Mode. ✅ Ni gari linalotoa mchanganyiko mzuri wa nguvu, ufanisi na teknolojia ya kisasa. 💰 Bei zake zinacheza kati ya milioni 31,32 na kuendelea kutegemea hali na ubora wa gari husika. Karibu GIO MOTORS – tunakuhudumia kwa uaminifu na ubora. 📞 0717060051 au 0763797571 Wasiliana nasi leo ujipatie gari bora kwa bei nafuu!