У нас вы можете посмотреть бесплатно Binadamu anarejea mwezini baada ya miaka 50. Tutarajie nini? или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Kwa mara ya kwanza katika zaidi ya miaka 50, binadamu anarudi mwezini, akisafiri zaidi kutoka duniani kuliko mtu mwingine yeyote aliyewahi kuwa hapo awali. Kazi hiyo maalumu ya Nasa ya Artemis II imeelezwa kuwa italeta uelewa mpya wa mazingira ya mwezi. Wanaanga wanne wanafanya safari hii ya kihistoria, baada ya maaandalizi ya miaka kadhaa na hatimaye Mamlaka ya Taifa ya Anga nchini Marekani NASA- kuizindua katka kituo cha anga cha Kennedy Artemis 2 #Artemis2 #MoonMission #Integrity #NASA #History #BBCSwahili #BBCSwahiliLeo Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili / @bbcnewsswahili