У нас вы можете посмотреть бесплатно KKU T, TISTA & EDK Wakutana Makambako | Mahojiano Maalum ya Kikao или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Assalaam Alaykum Warahmatullahi Wabarakatuh. Video hii inaonesha mahojiano maalum yaliyofanyika baada ya kikao/semina ya KKU T (Kamati ya Kuendeleza Uislamu Tanzania) kwa kushirikiana na TISTA pamoja na EDK. Kikao hiki muhimu kilifanyika katika Masjid Taqwa, ambapo kulikuwa na ugeni kutoka Taifa, Iringa, Ruvuma, pamoja na wenyeji wa Mkoa wa Njombe. Kupitia mahojiano haya, washiriki wanazungumzia: Lengo na umuhimu wa kikao/semina Mikakati ya kuendeleza Uislamu na elimu Ushirikiano wa taasisi za Kiislamu ngazi ya taifa na mikoa Ujumbe kwa Waumini na jamii kwa ujumla 📌 Tunaomba uendelee kufuatilia, ku-like, ku-comment na kusubscribe ili kuendelea kupata taarifa na maudhui yenye manufaa kwa Umma wa Kiislamu. Allah awalipe wote walioshiriki na kufanikisha kikao hiki. Aamiin 🤲