У нас вы можете посмотреть бесплатно TWALIA kwa matumaini или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Saint John Paul II Mbeya Choir (JMC). Tukiwa na majonzi na simanzi kwa kuondokewa na Mpendwa wetu, Dr John Pombe Magufuli, tuungane na wanakwaya hawa wa kwaya ya Saint John Paul II Mbeya Choir (JMC) kutoka kanisa la Mtakatifu Anthony wa Padua - Mbeya Mjini katika kumwombea Mpendwa wetu apumzike kwa amaniWimbo huu ni utunzi wake Sindani PTK na ni maalum kwa ajili ya kuomboleza na kumwombea Dr John Pombe Magufuli, Mungu ampokee katika ufalme wake mbinguni.Wimbo huu umeandaliwa katika studio za RAJO Productions (Audio & Video)Mungu amrehemu Dr John Pombe Magufuli.Raha ya milele Umpe Ee Bwana, na Mwanga wa milele umwangazie,Apumzike kwa amani, Amina. #miminaneema #rajoproductions #cloudsmedia #wasafitv #tbc #mwananchi