У нас вы можете посмотреть бесплатно Makonda awatembelea madereva wa malori usiku wa manane mpakani Tunduma или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi, Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Paul Makonda amefika mpakani mwa Tanzania na Zambia eneo la (Tunduma-Nakonde) usiku wa manane kufuatilia kero za madereva wa malori. Makonda amefika eneo hilo saa 8 usiku wa kuamkia leo Februari 7, 2024 na kushuhudia maofisa wa Uhamiaji wakiendelea kuhuduamia madereva wa malori wanaovuka wakisafirishaji bidhaa mbalimbali. Hatua hiyo imekuja baada ya Makonda kupokea kero ya madereva jana Februari 6, 2024 alipokuwa kwenye mkutano wa hadhara uliyofanyika Tunduma mkoani Songwe. Makonda amezungumza na madereva wakimweleza kuwa wanapofika eneo hilo wanasumbuliwa licha ya kuonyesha risiti walizolipia.