У нас вы можете посмотреть бесплатно Madaraka Nyerere: Baba angekuwepo ningemuuliza maswali niliyonayo или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Mwitongo, Butiama mkoani Mara ndipo mahala alipozaliwa Hayati Julius Kambarage Nyerere, Rais wa kwanza na baba wa Taifa la Tanzania. Aprili 13 mwaka 1922 ndiyo mwaka ambao Rais huyu alizaliwa akiwa mtoto wa pili kati ya watoto watano wa Chifu wa Kabila la Wazanaki, yaani Chifu Nyerere Burito na Bi. Christina Mgaya Nyang'ombe. Oktoba 14 mwaka huu Tanzania inaadhimisha miaka 23 bila uwepo wa Mwalimu duniani, maisha yanaendelea, falsafa na maono yake yanaendelea kuishi ndiyo maana Mwananchi Digital imefunga safari hadi Mwitongo Butiama mkoani Mara, mahala alipozaliwa Nyerere ili kukufahamisha alikuwa nani kabla na baada ya kustaafu.