У нас вы можете посмотреть бесплатно BAADA ya MZOZO MKUBWA wa MIAKA 15 ya KESI -MZEE ABEDI wa MTWARA ASAMEHE SHAMBA la EKARI 8 za KOROSHO или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
BAADA ya MZOZO MKUBWA wa MIAKA 15 ya KESI -MZEE ABEDI wa MTWARA ASAMEHE SHAMBA la EKARI 8 za KOROSHO Mzee Abedi Mohamed wa Masasi, Mtwara, ameamua kusamehe shamba lake lenye ukubwa wa ekari 8, linalokadiriwa kuwa na thamani ya Sh. milioni 40, baada ya kuchoshwa na mzozo wa kisheria wa muda mrefu. Mzee Abedi amesema uamuzi huo umetokana na kupata msaada wa kisheria kutoka kwa Samia Rogied, ambaye alisaidia katika kusuluhisha mzozo huo kwa njia ya amani. Kwa mujibu wa mzee huyo, msaada wa kisheria uliwezesha kufikia suluhisho haraka, kuepuka gharama kubwa za mahakama, na kumleta amani ya moyo. Uamuzi huu umeibua hisia mchanganyiko katika jamii, huku wengi wakimpongeza kwa busara na utulivu alioonyesha katika kushughulikia migogoro ya ardhi. ================================================================= ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136) ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo na Burudani Tanzania! ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/ ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx