У нас вы можете посмотреть бесплатно USO KWA USO MNYIKA, NCHIMBI NA LISSU JUKWAANI или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Katibu Mkuu wa CCM, Dk Emmanuel Nchimbi na Makamu Mwenyekiti wa Chadema-Bara, Tundu Lissu wakizungumza katika Kilele cha Kongamano la 5 la Ekaristi Takatifu la Kanisa Katoliki, linalofanyika Uwanja wa Uhuru, jijini Dar es Salaam, leo Jumapili, Septemba 15, 2024. Mbali nao, viongozi wengine wa kisiasa waliohudhuria ni Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Doto Biteko na Waziri wa Ujenzi, Innoncent Bashungwa, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila na Spika mstaafu, Anne Makinda. Pia maaskofu, mapadri, watawa wa kiume na kike na waumini wa kanisa hilo wamejitokeza kwa wingi kushiriki kongamano hilo lililofunguliwa Septemba 12, 2024.