У нас вы можете посмотреть бесплатно Waziri wa zamani Ali Mwakwere atawazwa kuwa hatibu wa jamii ya Mijikenda или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Waziri wa zamani ambaye pia alikuwa mbunge wa Matuga Chirau Ali Mwakwere ametawazwa kuwa msemaji wa jamii ya Mijikenda ambapo atawakilisha jamii ndogo tisa kutoka eneo la Pwani. Hafla hiyo iliyoandaliwa kwenye kijiji cha Vishakani huko Kaloleni, kaunti ya Kilifi, ilisadifiana na ukumbusho wa miaka-53 baada ya kifo cha Ronald Ngala, hatua ambayo ni muhimu katika ukumbusho na ufufuo wa umoja wa jamii hiyo. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: / kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive