У нас вы можете посмотреть бесплатно Tanzania yateketeza silaha haramu или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Tanzania imeteketeza silaha haramu 5230 ikiwa ni moja ya kipengele kwenye maazimi ya Nairobi juu ya udhibiti wa silaha ndogo na nyepesi. Kwa mujibu wa kamishna wa polisi msaidizi Renalda Milanzi ambaye ni mkuu wa kitengo cha udhibiti wa silaha na utoaji wa vibali vya silaha Tanzania amesema silaha haramu zilizoteketezwa zimepatikana kutokana na operesheni mbali mbali za jeshi la polisi za kukabiliana na uhalifu, utaifishaji kwa mujibu wa sheria kwa amri ya mahakama kwa mujibu wa sheria ya umiliki wa silaha ya mwaka 2015 na usalimishaji wa hiari. Kamishna Milanzi amesema yoyote atakaye patikana na silaha haramu hawata muacha salama na hatua dhidi yake zitachukuliwa kwa mujibu wa sheria. Video: @eagansalla_gifted_sounds_ #bbcswahili #silaha #tanzania #sheria