У нас вы можете посмотреть бесплатно 𝗨𝗛𝗔𝗟𝗜𝗦𝗜𝗔 𝗪𝗔 𝗥𝗜𝗭𝗜𝗞𝗜 𝗡𝗔 𝗛𝗘𝗞𝗜𝗠𝗔 𝗬𝗔 𝗔𝗟𝗟𝗔𝗛 𝗡𝗗𝗔𝗡𝗜 𝗬𝗔𝗞𝗘. или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Khutba hii inazungumzia kwa kina suala nyeti la riziki, ambalo mara nyingi huwapa watu wasi wasi, hofu na mashaka, ilhali riziki iko mikononi mwa Allah ﷻ peke yake. Katika khutba hii utajifunza nukta muhimu zikiwemo: Maana halisi ya riziki kwa mujibu wa Qur’an na Sunnah Ukweli kwamba riziki zote hutoka kwa Allah ﷻ, si kwa wanadamu Ajabu na mipango ya Allah katika kugawa riziki kwa viumbe Wake Hikma ya Allah katika tofauti za riziki miongoni mwa watu Uhakika kwamba hakuna kiumbe anayeweza kuzuia au kupora riziki ya mwingine Khutba hii inaimarisha imani, tawakkul na ridhaa, na inamfundisha Muislamu kuacha kuwategemea watu, bali kumtegemea Allah ﷻ kwa moyo wote, huku akichukua sababu halali. Karibu usikilize, utulize moyo wako na uongeze yaqini juu ya ahadi ya Allah ﷻ katika riziki.