У нас вы можете посмотреть бесплатно EL MENCHO GWIJI HATARI wa DAWA za KULEVYA ALIVYOUAWA MILIMANI BAADA ya OPERESHENI KALI ya WANAJESHI или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
EL MENCHO GWIJI HATARI wa DAWA za KULEVYA ALIVYOUAWA MILIMANI BAADA ya OPERESHENI KALI ya WANAJESHI @ONESMO SANGALALI - DAR CC; JUMA KAHEMELA Ghasia za umwagaji damu zimeikumba Meksiko baada ya kuuawa kwa kinara wa genge la dawa za kulevya Nemesio Oseguera Cervantes maarufu kama El Mencho, tukio lililotikisa mfumo mzima wa usalama wa nchi hiyo na kuzua mapigano makali katika majimbo mengi huku wataalamu wakionya huenda taifa hilo likakumbwa na kile wanachokiita hali ya “vita kamili” kati ya magenge na vikosi vya dola. Ndani ya saa chache baada ya taarifa ya kifo chake kuthibitishwa, barabara zilifungwa kwa magari yaliyoteketezwa kwa moto, milio ya risasi ilisikika katika miji kadhaa, na wananchi wengi walijifungia majumbani wakihofia maisha yao. ============================================================ ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136) ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo na Burudani Tanzania! ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/ ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx