У нас вы можете посмотреть бесплатно Mnyika Apingana na Rais Samia, "Tanzania Siyo Shwari, CHADEMA Iko Kifungoni na Lissu Yuko Gerezani." или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Katibu Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika, amesema hali ya kisiasa nchini Tanzania haiwezi kuwa shwari wakati kiongozi mkuu wa chama kikuu cha upinzani yupo gerezani akikabiliwa na kesi ya uhaini wanayodai ni ya kubambikiwa. Mnyika ameyasema hayo leo nje ya Mahakama Kuu ya Tanzania Masjala Ndogo ya Dar es Salaam, akipinga kauli ya Samia Suluhu Hassan aliyedai katika mazungumzo yake na Rais wa Ghana kuwa hali ya kisiasa nchini ni shwari Amesisitiza kuwa jamii ya kimataifa isikubali kile alichokiita upotoshaji kuhusu taswira halisi ya siasa za Tanzania. Unaweza kutufuatilia kupitia; TWITTER: / thechanzo INSTAGRAM: / thechanzo FACEBOOK: / thechanzo TIKTOK: https://www.tiktok.com/@thechanzo?is_... Au tembelea tovuti yetu: https://www.thechanzo.com Je, una habari? wasiliana nasi kupitia Telegram/WhatsApp +255 753 815 105 The Chanzo 2025 © All Rights Reserved.