У нас вы можете посмотреть бесплатно ZUCHU Amtukana ZARI Vibaya! "Ni Malaya Tu" | Siri ya Diamond Yatajwa (Kosa la Zari Hili Hapa!) или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Mambo yamezidi kuwa moto kwenye kiwanda cha burudani! Leo kwenye BONGO VIBE tunakuletea undani wa bifu jipya linalofukuta kati ya malkia wa WCB, Zuchu, na mwanadada Zari The Bosslady. Inadaiwa Zuchu amefunguka mazito na kutumia maneno makali dhidi ya Zari, jambo ambalo limezua gumzo kubwa mitandaoni. Je, nini kimesababisha hasira hizi? Na kosa la Zari ni lipi hasa mpaka kufikia hatua hii? Ungana nasi mwanzo mpaka mwisho kupata ukweli wote uliojificha. Usisahau kusubscribe na kubonyeza kengele ili usipitwe na habari pindi zinapotokea!