У нас вы можете посмотреть бесплатно Maua Sama - WIVU ft. Aslay (Official Video) или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Song: Wivu Artists: Maua sama ft Aslay #MauaSama #Wivu #Aslay #Mziiki Follow Maua Sama: / mauasama / mauasama / mauasamaofficial Maua Sama Bookings Info: mauasamalive@gmail.com | maua@mauasama.co.tz Cell/WhatsApp +255677775566 Song Lyrics: Aslay: Vimambo vyangu natupa kule Sinegen’geneki nikafa bure Kwako ni mfu msukule Kwa baby yake piga kelele Maua Sama: Mi hali yangu mbona shwari baby wee Niko jikon nasonga ugali Uje ule baba we Aslay: Roho yangu safi Mungu kanipa Ninachotaka kwa wakati na,Enjoy Sitaki kuwa Mswati nimeridhika Michepuko na Mwendokasi bye bye Maua Sama: Mpaka naunguza mboga ayo maneno yako yalivyokuwa matam Nahisi kuwa muoga maana nna wivu na ndo ushanshika patam Chorus: Wanajua tunavyopendana mi nawe wanaona wivu tunavyopendana *2 Wanajua nilivyoshibana nawe ndo mana wanaona wivu tunavyopendana oh oh oh Wanajua tunavyopendana me na we wanaona wivu tunavyopendana Maua Sama: Ntafuga kijini nkuroge usitoke yani, Uwe na Mimi tu ndani / uwe na mimi mwandani aii wewe Nshakolea penzi me nipo mahabani Sipingi sibishani we ndo wakwangu Mimi nielewee Aslay: Uzuri hutaki pochi, hutaki noti Na sishushi bendera ikawa nusu mlingoti Benzema Mess pasi kwa pasi mi Na wewe Maua Sama: Mpaka naunguza mboga ayo maneno yako yalivyokuwa matam Nahisi kuwa muoga maana nna wivu na ndo ushanshika patam Chorus: Wanajua tunavyopendana mi nawe wanaona wivu tunavyopendana *2 Wanajua nilivyoshibana nawe ndo mana wanaona wivu tunavyopendana oh oh oh Wanajua tunavyopendana me na we wanaona wivu tunavyopendana