У нас вы можете посмотреть бесплатно NANENANE ARUSHA || Wafugaji wasifu mbegu za ng'ombe kutoka Kituo cha Taifa cha Uhimilishaji (NAIC) или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Wafugaji wanaofanya shughuli zao Mkoani Arusha wamesema teknolojia ya uhimilishaji wa mifugo hususan Ng'ombe inayotolewa na Kituo cha Taifa cha Uhimilishaji (NAIC USA RIVER) ni bora na imeleta mapinduzi makubwa katika uboreshaji wa koosafu za Mifugo yao. Wakiongea kwa nyakati tofauti katika Maonesho ya Wakulima NaneNane kwa Kanda ya Kaskazini yanayofanyika Mkoani humo Agosti 3, 2022, Wafugaji hao walisema mbegu za madume bora ya Ng'ombe zinazozalishwa katika kituo hicho ni nzuri kwani tangu waanze kuzitumie kupandikiza kwa Ng'ombe wao imesaidia kuboresha kosafu huku uzalishaji wa maziwa na nyama ukiongezeka maradufu tofauti na hapo awali.