У нас вы можете посмотреть бесплатно Utaratibu wa kufunga ziwa wawagawa wadau wa uvuvi или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Mwanza. Utaratibu wa kufunga ziwa Victoria kwa siku 10 kwa uvuvi wa dagaa umewagawa wadau wa sekta ya uvuvi Mikoa ya Kanda ya Ziwa huku wengine wakionekana kuunga mkono na wengine wakipinga. Februari mwaka huu Mkoa wa Mwanza ulianza kutekeleza Sheria ya Uvuvi namba 22 ya mwaka 2003 na kanuni zake za mwaka 2009 na marekebisho ya mwaka 2020 na 2022 inayolenga kuhakikisha rasilimali za Uvuvi zinaendelezwa, kusimamiwa, kuhifadhiwa, na kuvunwa kwa njia endelevu kwa ajili ya ukuaji wa uchumi na kuboresha maisha ya wananchi. Katika kutekeleza hilo Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi kwa kushirikiana na wadau wa Uvuvi katika Ziwa Victoria walikubaliana kutenga siku kumi za kupumzisha ziwa kipindi cha mbaramwezi dhidi ya uvuvi wa dagaa ili kuongeza mazalia na mazao hayo hali ambayo inaonekana kuwagawa wadau wa Uvuvi.