У нас вы можете посмотреть бесплатно “WANAFUNZI WANA KITABU KIMOJA, AJIRA HAKUNA, TUMBILI WAMEKULA MAZAO” или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Baadhi ya wananchi wa Wilaya ya Rombo mkoani Kilimanjaro wamewasilisha changamoto zao mbele ya kiongozi wa Serikali wakati wa ziara yake mkoani humo. Mwananchi mmoja, Mama Lishe, alilia kwa uchungu akisema katika shule ya kirachi wanafunzi wa darasa zima wanatumia kitabu kimoja, akihoji analipa ada ya kazi gani. Kauli hiyo iliguswa na wengi. Changamoto nyingine zilizowasilishwa ni pamoja na wanyama aina ya tumbili kula mazao ya wakulima, pamoja na ubovu wa miundombinu ya barabara. Akizungumzia suala la vitabu, Waziri wa Elimu Adolf Mkenda alisema taarifa hiyo inamshangaza na akaahidi kufuatilia. Mwananchi mwingine alishauri Serikali ichimbe visima ili vijana walime kama chanzo cha ajira, akisema licha ya kusoma bado ajira ni adimu. Aliomba Serikali ifanye uchunguzi wa kina kutatua changamoto hizo#tmcnews565#Rombo#Kilimanjaro#ElimuBora#VitabuShuleni#MamaLishe#AdolfMkenda#ChangamotoZaWananchi#Wakulima#Tumbili#Miundombinu#Barabara#AjiraKwaVijana #KilimoNiAjira#SerikaliIsikilizeWananchi#MaendeleoYaWananchi Endelea kuwa nasi—usiondoke. TMC News TV inakuletea kila hatua, kila sauti, na kila ujumbe muhimu moja kwa moja. 👍 Like, video zetu ili kuona kila taarifa muhimu haraka! 🔔 Subscribe sasa na usikose kila update mpya. 📤 Share na marafiki na familia ili kila mtu apate ukweli. 💬 Comment chini na tuambie maoni yako—tuna thamini sauti yako! TMC News – shaping the future