У нас вы можете посмотреть бесплатно KAMATI MAALUM ZANZIBAR YABARIKI BARAKA SHAMTE KUFUKUZWA UWANACHAMA, WASEMA BADO UCHUNGUZI UNAENDELEA или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Kamati maalum ya Halmashauri kuu ya ccm taifa Zanzibar imelaani vikauli kauli za uchochezi zilizotolewa na Ndugu Baraka shamte, dhidi ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, ambae pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Ccm, Mh Dr Hussen Ali Mwinyi alizotoa kupitia mitandao ya kijamii Taarifa hizo zimejiri baada ya Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu CCM Zanzibar kukutana tar 14/6/2022 chini ya makamu mwenyekiti wake Dr Ali Mohamed Sheini katika kikao ambacho kimefanyika katika ukumbi wa Chama hicho uliopo Kisiwandui MKOA WA Mjini Magharib ======================== ⚫ TEMBELEA BLOG YETU: https://sknewsznz.blogspot.com/ ⚫ SUBSCRIBE HAPA: shorturl.at/uPTU1 ⚫ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫ WASILIANA NA SK NEWS ( +255 715 401610), ( +255 773 401610) ⚫ Email: sknews.info@gmail.com ⚫ OUR PLAYLISTS: ⚫ HABARI MPYA: shorturl.at/dkqGQ ⚫ MAHUSIANO: shorturl.at/bxM47 ⚫ SIMULIZI: shorturl.at/oxMW4