У нас вы можете посмотреть бесплатно #BREAKINGNEWS или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
#BreakingNews Muimbaji Wa Muziki Wa Injili Tanzania na Kiongozi Wa Kundi La @essenceofworshipministries GWAMAKA MWAKALINGA amebadilisha Jina Hilo na Sasa Atatambulika kama PASTOR JOSIAH @pastor_josiahtz ・・・ Gwamaka ametoa taarifa Hiyo Kupitia Mitandao Yake Ya Kijamii ambapo Ametoa sababu Ya Kufanya Hivyo, ameandika,; “Namshukuru sana Mungu wa Wokovu wangu,Namshukuru (GOD EL ROI) God who sees kwa kunipa neema ya Msimu mpya Maishani Mwangu.Amenipa Jina Jipya Kwa ajili ya Kulithibitisha Kusudi lake katika Maisha Yangu.Majira Yote Mungu anapobadili jina La Mtu ni Kutokana na kumpa hatima mpya na kumpa Jukumu juu ya Kusudi Mungu alilomuitia na wala kwa sio lazima kuwa jina lililokuwepo lilikuwa baya. mfano ABRAM-Exalted Father alibadilishiwa Jina kwenda Ibrahimu-Baba wa Mataifa(Kazi na hatima yake ilibadiliahwa) Nimepewa Jina Jipya Josiah kwa Kazi maalumu aliyeithibitisha Yeye Mwenyewe Mungu. Am no Longer Gwamaka Mwakalinga.I AM JOSIAH,na pia natumika rasmi katika ofisi ya Kichungaji Katika huduma Ya Essence of Worship kama Mchungaji wa Kundi na Huduma(Sio Kanisa).Sijafungua Kanisa na bado sina wito huo. Pastor Josiah its Now my Name.GLORY TO GOD FOR A NEW SEASON.”