У нас вы можете посмотреть бесплатно DK NANAUKA ATETA NA VIJANA WAFUGAJI SAMAKI MWANZA или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
MWANZA: SERIKALI kupitia Wizara ya Mifugo na Uvuvi imetoa kiasi cha shilingi Bilioni.7 kwaajili ya kuwawezesha vijana 308 kutekeleza miradi ya ufugaji samaki kwa njia ya vizimba,ufugaji wa jongoo bahari,unenepeshaji wa kaa ,sambamba na kilimo cha mwani. Akizungumza Jijini Mwanza katika Kampasi ya FETA Nyegezi kwenye Hafla ya Uzinduzi wa Kuwezesha Mitaji Vijana wa Programu ya BBT-Uvuvi Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais-Maendeleo ya Vijana Dkt.Joel Nanauka alisema kuwa programu hiyo pia itafanyika katika Mikoa mingine haswa katika ukanda wa Pwani hususani Mikoa ya Pwani na Mtwara. Follow us on: FACEBOOK; SpotiLeo: / spotileo-176. . HabariLeo: / habarileo DailyNews: / dailynewstz INSTAGRAM; HabariLeo: https://instagram.com/habarileo_tz?ig... SpotiLeo: https://instagram.com/spotileo?igshid... TWITTER; Twitter HabariLeo: https://twitter.com/HabariLeo?s=09