• ClipSaver
  • dtub.ru
ClipSaver
Русские видео
  • Смешные видео
  • Приколы
  • Обзоры
  • Новости
  • Тесты
  • Спорт
  • Любовь
  • Музыка
  • Разное
Сейчас в тренде
  • Фейгин лайф
  • Три кота
  • Самвел адамян
  • А4 ютуб
  • скачать бит
  • гитара с нуля
Иностранные видео
  • Funny Babies
  • Funny Sports
  • Funny Animals
  • Funny Pranks
  • Funny Magic
  • Funny Vines
  • Funny Virals
  • Funny K-Pop

SHEIKH ISSA BAKARI SURATUL QAMAR скачать в хорошем качестве

SHEIKH ISSA BAKARI SURATUL QAMAR 4 года назад

скачать видео

скачать mp3

скачать mp4

поделиться

телефон с камерой

телефон с видео

бесплатно

загрузить,

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
SHEIKH ISSA BAKARI SURATUL QAMAR
  • Поделиться ВК
  • Поделиться в ОК
  •  
  •  


Скачать видео с ютуб по ссылке или смотреть без блокировок на сайте: SHEIKH ISSA BAKARI SURATUL QAMAR в качестве 4k

У нас вы можете посмотреть бесплатно SHEIKH ISSA BAKARI SURATUL QAMAR или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:

  • Информация по загрузке:

Скачать mp3 с ютуба отдельным файлом. Бесплатный рингтон SHEIKH ISSA BAKARI SURATUL QAMAR в формате MP3:


Если кнопки скачивания не загрузились НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru



SHEIKH ISSA BAKARI SURATUL QAMAR

ADABU ZA KUSIKILIZA QURANI 1.kutafuta msomaji mwenye sauti mzuri. Inapendeza mtu mwenye kusikiliza qurani asikilize kwa yule mwenye sauti ambayo ataipenda. Jambo hili litampa hamu ya kusikiliza qurani. Hata mtume alikuwa na wasomaji wake maalumu wa kumsomea qurani. Amesimulia Jabir kuwa mtume amesema “hakika mtu mwenye sauti nzuri anaposima qurani ni yule ambaye pindi mnapomsikia anasoma qurani mnamdhania kuwa anamuogopa Allah. (amepokea ibn majah). 2.Kuleta mazingatio pamoja na kufikiri kwa kina maana. Inatakiwa nayesikiliza qurani sio tu atosheke na sauti lakini anatakiwa awe na mazingatio juu ya kile ambacho kinasomwa. 3.Mwenye kusikiliza qurani awe ni mzuri wa kusikiliza na mwenye kunyamaza. Amesema Allah kuwa “na pindi inaposomwa qurani isikilizeni na nyamazeni ili mrehemewe. (surat al-a’araaf 204) 4.Kulia na kuwaidhika na kinachozungumzwa. Kama ilivyo kwa msomaji hata msikilizaji pia ni vema akalia kwa kuwaidhika na qurani. Amesema Allah “na pindi wanaposikia yale yaliyoteremswa kwa Mtume utayaona macho yao yanabubujika machozikutokana na yale walioyajua katika haki” (surat maaidah 83) 5.Kuleta khushui, unyenyekevu na kutukuza kitabu cha Allah. Mwenye kusikiliza qurani ahakikishe kuwa analeta khushui na unyenyekevu, awe na utulivu huku akijuwa ukubwa wa kitabu cha Allah. 6.Kusujudi pindi unaposikia aya ya kusujudi. Sijida hii ni sunnah na mbele za maimamu wa fikh wapo wanaiita ni swala kama ilivyo swala ya jeneza. Hivyo haipasi mtu kusujudi akiwa hana udhu. Atasema mwenye kusujudi sijida hii “SAJADA WAJHI LILLADHII KHALAQANIY WASHAQA SAM’AHU, WABASWARAHU, BIHAWLIHI, WAQUWATIHI” amsesimulia ‘Aisha. Aya hizi za sijida zipo 15 katika qurani ambazo ni aya ya mwisho ya surat al-araf, aya ya 15 ya surat rad, aya ya 50 ya surat nahli, aya ya 109 ya surat israa, aya ya 58 ya surat maryam, aya ya 18 ya surat haj, aya ya 77 ya ryrat haj, aya ya 60 ya surat furqan, aya ya 26 ya surat naml, aya ya 15 ya surat sajda, aya ya 38 ya surat fusilat, aya ya 62 ya surat najmi, aya ya 21 ya surat inshiqaq, aya ya 19 ya surat ‘alaq. FADHILA ZA BAADHI YA SURA Umuhimu na ubora wa baadhi ya sura na aya. 1.Surat al-fatiha. Amesimulia Ibn ‘Abas kuwa “wakati ambao jibril alikuwa amekaa na Mtume akasikia sauti ya mlango uliofunguliwa juu yake akanyanyu kichwa chake kisha akasema “hiyo ni nsauti ya mlango uliopo mbinguni umefunguliwa siku ya leo, na katu haujawahi kufunguliwa ila ni leo tu (ndio mara ya kwanza kufunguliwa). Basi akashuka Malaika kutoka kwenye mlango huu akasema (Jibril) huyu ni malaika ameshuka duniani na hajawahi kushuka kamwe ila ni leo tu akatoa salamu (malaika huyo) kisha akasema (kumwambia mtume) tuo habari za furaha kwa nuru mbili ulizopewa na hakuwahi kupewa mtume yeyote kabla yako kamwe (ambazo ni) surat al-fatiha na aya za mwisho za surat al-baqarah hatusoma herufi yeyote isipokuwa utapewa” (amepokea Muslim). Amesema Mtume “surat al-fatiha ni dawa ya kila gonjwa” amepokea Bayhaqiy) 2.surat al-baqarah Amesema Mtume “…Mwenye kuisoma katika nyumba yake usiku hatoingia shetani nyumba hiyo kwa muda wa siku tatu, na mwenye kuisoma mchana hatoingia shetani nyumba hiyo kwa michana mitatu” (amepokea Ibn hiban, tabrany na Bayhaqiy). 3.ayat al-qursiy. Amesema Mtume “katika surat al-baqarah kuna aya iliyobora kuliko aya zote haitasomwa aya hiyo kwenye nyumba yenye shetani ila atatoka kwenye nyumba hiyo, (aya hiyo ni) ayat al-kursy) (amepokea Al-Haakim na Bayhaqiy) 3.aya za mwisho za surat al-baqarah Amesema Mtume hakika Allah ameimalizia surat al-baqarah kwa aya zilizo tukufu (zilizotoka) kwenye hazina chini ya ‘arshi basi jifundisheni aya hizo na muwafundishe wake zenu na watoto wenu. Kwani mna ndani ya aya hizo dua, qiraa na dua” (amepokea Al-Haakim kutoka kwa Abuu Dhari). Pia Amesema mtume “aya mbili za mwisho za surat al-baqarah mwenye kuzisoma usiku zitamtosheleza” (amepokea bukhari,Muslim, Ahmad na Ibn Maajah kutoka kwa ibnmas’ud) 4.surat al-imraan Amesema Mtume katika mafhumu ya hadithi iliyo sahihi kuwa itakuja qurani siku ya kiyama ikiongozwa na surat al-baqarah na al-imraan katika hali ya makundi mawili na yakawa yanajadiliana juu ya mtu wao yaani msomaji. Pia amesema Mtume Mtu mwenye kusoma “SHAHIDALLAHU ANNAHU LAA ILAAHA ILLAA HUWA WALMALAAIKATU WA-ULUL-ILMI QAAIMAN BIL-QISTWI LAA ILAAHA ILLAA HUWAL-AZIZL-HAKIIM. INNA DINA ‘IN-DALLAHIL-ISLAM” Kisha akasema “wa ana ash-hadu bimaa shahidaLLAHU bihi, wa astawdiu LLAHU hadhihi shahadah, wahiya lii indahu wadi’ah” Basi ataletwa mtu huyu siku ya kiyama na ataambiwa na Allah ewe mja wangu hii ni ahadi yangu niloahidi na mimi nina haki ya kutekeleza ahadi muingizeni mja wangu peponi” (amepokea Abuu Shaykh kutoka kwa Ibn masud). 5.surat israa Amesema Mtume mwenye kusoma wakati wa asubuhi au jioni “QULID-’ULLAHA AWID-’UR-RAHMANA AYAAMA-TAD-’U FALAHUL-ASMAAU-LHUSNAA” mpaka mwisho wa sura moyo wake hautokufa siku hiyo wala usiku huo. (amepokea Dilamy).

Comments
  • Holly Qur'an Best Recitation Qur'an Ustadh Mmanga Mharram Surat Al Imran Part One Maqam Rasti 5 лет назад
    Holly Qur'an Best Recitation Qur'an Ustadh Mmanga Mharram Surat Al Imran Part One Maqam Rasti
    Опубликовано: 5 лет назад
  • SAUTI LADHA MWANANA: KATI YA WACHUMBA 3 NIOE YUPI 1 TAJIRI KANIPENDA MWENYWE 2 MCHUMBA WANGU WA ENZI 5 лет назад
    SAUTI LADHA MWANANA: KATI YA WACHUMBA 3 NIOE YUPI 1 TAJIRI KANIPENDA MWENYWE 2 MCHUMBA WANGU WA ENZI
    Опубликовано: 5 лет назад
  • IMAMU ISSA BAKARI MASJID SAHABA MTONI KIDATU ZANZIBAR 1 год назад
    IMAMU ISSA BAKARI MASJID SAHABA MTONI KIDATU ZANZIBAR
    Опубликовано: 1 год назад
  • Siku ya Qiyama Nabii Issa[a.s] atawakataa wale wanaomwita yeye mungu #SHEKHE MSELEMU ALLY 5 лет назад
    Siku ya Qiyama Nabii Issa[a.s] atawakataa wale wanaomwita yeye mungu #SHEKHE MSELEMU ALLY
    Опубликовано: 5 лет назад
  • Nashidaa shek juneeddi mioftu aka damma gorsitu qalbi dadamasit mee hodha dhuga 5 дней назад
    Nashidaa shek juneeddi mioftu aka damma gorsitu qalbi dadamasit mee hodha dhuga
    Опубликовано: 5 дней назад
  • SHEIKH MUHAMMED BAKARI WA TANGA, AVUNJA HOJA ZA MAWAHABI 3 года назад
    SHEIKH MUHAMMED BAKARI WA TANGA, AVUNJA HOJA ZA MAWAHABI
    Опубликовано: 3 года назад
  • Front się rozszerza Niemcy szykują wojska, Rosja grozi siłą, Francja aresztuje dywersantów 10 часов назад
    Front się rozszerza Niemcy szykują wojska, Rosja grozi siłą, Francja aresztuje dywersantów
    Опубликовано: 10 часов назад
  • ONA MAAJABU YA ZIKRI YA KONGORONI UTAPENDA P1 3 года назад
    ONA MAAJABU YA ZIKRI YA KONGORONI UTAPENDA P1
    Опубликовано: 3 года назад
  • IMAMU MASJID SAHABA SHEH ISSSA BAKAR NA QUR-AN SURAT FATHA BAQARA AYA YA 1-25 4 года назад
    IMAMU MASJID SAHABA SHEH ISSSA BAKAR NA QUR-AN SURAT FATHA BAQARA AYA YA 1-25
    Опубликовано: 4 года назад
  • Muhammad Bachu JE MTUME ANAKWENDA MAULIDINI|WATU WA MAULIDI WAMEZIDI SASA 4 года назад
    Muhammad Bachu JE MTUME ANAKWENDA MAULIDINI|WATU WA MAULIDI WAMEZIDI SASA
    Опубликовано: 4 года назад
  • Sheikh Shafii Akutana Na Askari Polisi Anayetoa Mawaidha 2 года назад
    Sheikh Shafii Akutana Na Askari Polisi Anayetoa Mawaidha"Aongea Maneno Mazito Kuhusu Mwanadam
    Опубликовано: 2 года назад
  • تلاوة خاشعة لعشر سور [ يس،الصافات،الأحقاف،النجم،القمر،الحديد،الملك،الحاقة،النبأ،النازعات ] حسن صالح 4 года назад
    تلاوة خاشعة لعشر سور [ يس،الصافات،الأحقاف،النجم،القمر،الحديد،الملك،الحاقة،النبأ،النازعات ] حسن صالح
    Опубликовано: 4 года назад
  • Powerfull Ruqyah Syariah | Against Black Magic, Sihir, Jinns, Evil& Sleeping Problem 6 лет назад
    Powerfull Ruqyah Syariah | Against Black Magic, Sihir, Jinns, Evil& Sleeping Problem
    Опубликовано: 6 лет назад
  • SAUTI NZURI YA IMAMU MASJID SAHABA MTONI KIDATU ZANZIBAR 2 года назад
    SAUTI NZURI YA IMAMU MASJID SAHABA MTONI KIDATU ZANZIBAR
    Опубликовано: 2 года назад
  • سورة الكهف كاملة (مكتوبة ) للقارئ الشيخ محمد الفقيه _ تلاوة خاشعة ومؤثرة😌💚 1 год назад
    سورة الكهف كاملة (مكتوبة ) للقارئ الشيخ محمد الفقيه _ تلاوة خاشعة ومؤثرة😌💚
    Опубликовано: 1 год назад
  • 🔴LIVE : SAMAI MADRASAT KHAYRIYYA KARIAKOO DSM KWA SHEIKH UWESU - 1446H/2024 Трансляция закончилась 1 год назад
    🔴LIVE : SAMAI MADRASAT KHAYRIYYA KARIAKOO DSM KWA SHEIKH UWESU - 1446H/2024
    Опубликовано: Трансляция закончилась 1 год назад
  • Seikh Ali Hudhaify (Surah Kahf) 11 лет назад
    Seikh Ali Hudhaify (Surah Kahf)
    Опубликовано: 11 лет назад
  • SAUTI NZURI YA IMAMU WA MASJID SAHABA MTONI KIDATU ZANZIBAR 2 года назад
    SAUTI NZURI YA IMAMU WA MASJID SAHABA MTONI KIDATU ZANZIBAR
    Опубликовано: 2 года назад
  • Maryam: 19 11 лет назад
    Maryam: 19
    Опубликовано: 11 лет назад
  • Dr Muhammad islam / Asema Maulidi Haramu / Je Yupo Sahihi? Toa Maoni yako Kwenye Comment 5 лет назад
    Dr Muhammad islam / Asema Maulidi Haramu / Je Yupo Sahihi? Toa Maoni yako Kwenye Comment
    Опубликовано: 5 лет назад

Контактный email для правообладателей: [email protected] © 2017 - 2025

Отказ от ответственности - Disclaimer Правообладателям - DMCA Условия использования сайта - TOS



Карта сайта 1 Карта сайта 2 Карта сайта 3 Карта сайта 4 Карта сайта 5