У нас вы можете посмотреть бесплатно The Redeemed Tz - NANI ASEME (Official music video 4K) или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
NANI ASEME? Wimbo huu ni ushuhuda wa watu waliopitia nyakati ngumu sana… lakini bado wamesimama. Ni sauti ya mtu aliyewahi kuanguka, lakini Mungu alimwinua. Ni kumbusho kwamba hata pale tulipodhani tumebaki peke yetu — Mungu alikuwa nasi. Kuna wakati tuliona hakuna njia. Kuna wakati tulihisi tumefika mwisho. Lakini Mungu alituwekea ngao na kutuvusha salama. Kama si Yeye kutulinda, kama si Yeye kutuvusha, kama si Yeye kutushika tulipokuwa tunaanguka… Leo tungekuwa wapi? NANI ASEME? 🎧 Tulia kidogo, sikiliza. 🎥 Tazama kama ni ushuhuda wako pia. 🙏 Mshirikishe mtu anayehitaji kukumbushwa kwamba Mungu bado anatenda. 🔔 Tufuatilie: 🎶 Instagram: @redeemed_tz 🎥 YouTube: @theredeemedtz 📌 TikTok: The Redeemed Tz 📧 Email: theredeemedtanzania@gmail.com 📱 +255 657 795 852 📞 +255 766 580 513 🎵 SONG CREDITS Artist/Choir: The Redeemed Tanzania Song Title: NANI ASEME Composer & Lyricist: Ericah Mniko Mixing & Mastering: Betese Pro Audio Production: Icon Sound Video Director: Josh Shot It Production House: Metra Digital 🎙️ Audio Rights: © The Redeemed Tz, 2026 🎬 Video Rights: © The Redeemed Tz, 2026 All rights reserved. #sdachoir #RedeemedTz #OfficialVideo #GospelMusic #ChoirSongs #SDA #TheRedeemedTanzania #Yesu #WimboMpya