У нас вы можете посмотреть бесплатно MKUU WA WILAYA AGEUKA FUNDI/KUFANYA UKAGUZI WA MIRADI/MAFUNDI WATETEMEKA или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Mkuu wa wilaya ya Uyui-Tabora Mhe.Mohamed Mtulyakwaku amekagua miradi ya zaidi ya shilingi milioni 400 katika shule ya sekondari Ntahondi iliyopo kata ya Isila. Miradi hiyo ambayo ni ujenzi wa nyumba za walimu shilingi milioni 110. Ujenzi wa miundombinu ya kitado cha 5 na 6 milioni 346 ambapo ni mabweni mawili,vyumba viwili vya madarasa pamoja na matundu 10 ya vyoo ambavyo vitatumika na wanafunzi pale itakapokamilika. Akitoa maelekezo mkuu wa wilaya amewataka mafundi kuongeza kasi ya ujenzi wa majengo kwani vifaa vyote vipo kinachohitajika ni utekelezaji tu. Kwa upande wa wananchi wa Isila mzee Hamza martini na mwenzie wamemshukuru Mhe. Dkt Samia Suluhu Hassan kwakuendelea kuleta miradi ya maendeleo katika kijiji cha Isila kwani imefanya kuwe na mabadiliko.