У нас вы можете посмотреть бесплатно UCHANGANUZI | Umuhimu wa kupiga kura katika uchaguzu mkuu или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Elimu ya mpigakura si suala la hiari, bali ni haki ya msingi na nyenzo muhimu katika kuhakikisha uchaguzi huru, wa haki na unaozingatia misingi ya demokrasia. Ni wajibu wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), taasisi za kiserikali, vyama vya siasa, asasi za kiraia na vyombo vya habari kushirikiana kwa dhati kuhakikisha wananchi wanapata maarifa ya kutosha kuhusu mchakato mzima wa uchaguzi, wajibu wao, na athari za maamuzi yao chanya au hasi katika kujitokeza kupiga kura au kutopiga kura. Mpigakura mwenye elimu hujua thamani ya kura yake. Je, wananchi wote wanajua umuhimu huo?