У нас вы можете посмотреть бесплатно DAAH! MAGUFULI AKIKIONA HIKI, ATAFURAHI SANA, NI ZAIDI YA ANAVYOSISITIZA.... или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
DAAH! MAGUFULI AKIKIONA HIKI, ATAFURAHI SANA, NI ZAIDI YA ANAVYOSISITIZA.... KAMPUNI ya SEASONING PALET ya jijini Dar es salaam, imeanzisha kiwanda cha kisasa cha kusindika siagi ya karanga inayojulikana kwa jina la TOBI PEANUT BUTTER na hivyo kuwa mkombozi mkubwa kwa wakulima wa karanga nchini Tanzania. Aidha, Seasoning Palet wametekeleza kwa vitendo sera ya Serikali ya Awamu ya Tano ya Mhe. Dkt John Pombe Magufuli ya kuanzisha viwanda ili kutoa ajira kwa Watanzania, kwani wamefanikiwa kutoa ajira kwa akina mama vijana wa kike na kiume. Global TV imetembelea kiwanda chao kilichopo Ukonga jijini Dar es Salaam na kujionea uzalishaji unavyofanyika na pia kufanya mahojiano na Mkurugenzi Mwendeshaji wa kiwanda hicho... KUHUSU TOBI PEANUT BUTTER.... Imetengenezwa kutokana na karanga halisi asilimia 100, NI LAINI, TAMU, inafaa kula na mkate, bugger, pizza, cake, ice cream, na kadhalika au kupikia aina mbalimbali za mboga na chakula. Imetengenezwa kwa kufuata viwango vya kitaifa na kimataifa na kuhifadhiwa kwenye vifungashio vyenye ubora wa hali ya juu. NI SALAMA KIAFYA NA HAINENEPESHI. Kwa mahitaji ya jumla na rejareja wasiliana na SEASONING PALET: Simu: 0767 264 704 DAR ES SALAAM au mawakala wa mikoani: MOSHI:- 065 272 2274 TABORA: 0788 204 120 MWANZA:- 0654 77 7778 BARIADI:- 0754 248 730 Zanzibar :- 0773 158 798 DODOMA:- 0685 542922 Arusha: 0767 673 369 na 0627 673 369 au 0754 370 466 au 0715 370 466 au 0782 099 828 MAISHA NI TOBI PEANUB BUTTER, LADHA KUBWA, BEI POA! @ tobipeanutbutter #MaishaNiTobi PeanutButter #LadhaKubwa #BeiPoa