У нас вы можете посмотреть бесплатно TWATARAJIA MJI - Mzizima SDA Choir [Official Video 4K] или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Ni wimbo uliotokana na ahadi za Mungu na hakika kwamba tunaweza kuishi bila majuto😊 tunapotazamia siku hiyo tukufu,tukijua kwamba siku moja tutakuwa naye milele🙌. Ninakukaribisha kusikiliza, kutafakari, na kuacha ujumbe huu ujaze moyo wako na hisia mpya za kusudi na imani katika Bwana wetu Yesu Kristo Music and Composition: Rasford Amos Lyrics: Rasford Amos Audio: Bjbrand studios Video: Marcko zacky Instrumentation: Bwanga Tayari Lyrics Twatarajia mji mpya, uliojengwa na mwokozi. Mji ulioimarika, hatutajuta kuingia. Chorus Hatutajuta kuingia, Mji Yesu aliojenga. Mioyo yetu 'tatoshelezwa. Hatutajuta kuingia! Yesu atakuwa ni mfalme, milele zote 'tatawala. Amani tuliyopoteza, mbinguni atairejesha. Kila mtu amealikwa, kuwa mrithi wa ufalme. Leo waweza kuchagua. Hatutajuta kuingia! ©Mzizima SDA Choir 2024 #hymns #sdahymns #christianhymns #sdachurch