У нас вы можете посмотреть бесплатно 🔴 RC RUVUMA ATEKELEZA AGIZO LA WAZIRI WA UJENZI, AKAGUA UJENZI WA DARAJA LA MTO MNYWA MAJI или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Brigedia Jenerali Ahmed Abbas Ahmed, amefanya ziara ya kukagua ujenzi wa daraja la muda katika Mto Mnywamaji, lililopo Kijiji cha Ruanda, Wilaya ya Mbinga. Ziara hiyo imefanyika kufuatia agizo la Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, alilolitoa Desemba 21 alipokuwa ziarani mkoani Ruvuma. Katika agizo hilo, Waziri Ulega aliielekeza Wakala ya Barabara Mkoa wa Ruvuma kuanza mara moja utekelezaji wa ujenzi wa daraja hilo la muda, sambamba na kusitisha matumizi ya daraja dogo lililopo eneo hilo, kwa magari makubwa yanayobeba makaa ya mawe. Aidha, Waziri alimwagiza Mkuu wa Mkoa kufika katika eneo husika ili kufanya ukaguzi na kusimamia hatua za haraka za ujenzi wa daraja hilo la muda.