У нас вы можете посмотреть бесплатно Airbnb ni nini? или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Airbnb ni fursa kubwa ya pesa. Huu ni mtandao unaokutanisha wageni na wenyeji kwenye huduma za makazi ya muda mfupi. Wanaiita Uber ya makazi ya muda mfupi (short term rentals). Huduma zao zingine: Makazi ya muda mrefu (long term stays) Matukio ya kusisimua (experiences) Sehemu za kula (restaurants, hii haijafika nchini kwetu bado, ipo USA) jiunge Telegram channel upate material bure httpsl://t.me/hamiahostingtz Jiunge Airbnb kwa link yangu, upate $10 ukipokea mgeni wa kwanza bit.ly/joinairbnbnow Jaza form yetu na uchague huduma gani unahitaji kutoka kwetu https://bit.ly/HamiahostingClient Tuna-coach Airbnb Business kuanzia TZS 150,000 kwa kikundi cha watu wa5 kwa kipindi cha siku 60. Kwa private coaching in TZS 250,000. Haya ndio utakazojifunza bit.ly/AirbnbHostingCourse Pakua BURE Kitabu cha Airbnb Hosting https://bit.ly/AirbnbHostingToolkit (utapata mawasiliano yetu direct)