У нас вы можете посмотреть бесплатно MBAAZI ZAUZWA KWA BEI YA JUU YA 2030 NA CHINI 2017 TANDAHIMBA или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Wakulima waliohudhulia Mnada wa Mbaazi uliofanyika leo Agosti 25 2023, katika Kata ya Litehu Halmashauri ya wilaya ya Tandahimba mkoani Mtwara, wamekubaliana kuuza zao hilo kwa bei ya juu ya Tsh 2030 na bei ya Chini ya Tsh 2017 chini ya Chama kikuu cha ushirika cha TANECU huku wakiuza zaidi ya tani mia moja. Mwenyekiti wa Chama hicho cha Ushirika cha TANECU Bwana Karim Chipola, amempongeza Mh. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan, pamoja na Waziri wa Kilimo Mh. Husein Bashe kwa kulipambania zao hilo hadi kuingia kwenye mfumo wa stakabadhi ghalani ambapo kwa sasa Wakulima hao wananufaika kupitia mfumo huo ukilinganisha na hapo awali. Hata hivyo, baadhi ya Wakulima waliohudhulia Mnada huo, wameipongeza na kuishukuru Serikali kwa kuwapa thamani wakulima wa zao hilo la mbaazi. SUBSCRIBE YOUTUBE CHANNEL YA FAIDA ONLINE TV ILI KUPATA HABARI ZETU.